KENUA MENO...
Chukulia umlala…
ukaota umekufa halafu upombinguni...ila malaika anakwambia unanafasi yakurudi
duniani tena ..lakini unatakiwa uchague urudi kama KUKU au BATA:wewe kwa moyo
mmoja ukaona yes bora uweKUKU..MALAIKA akakwambia lazima ufanye mazoezi ya
kutaga kabla haujarudi ….ukaona daaah…!poa
Basi bwana ukaanza kujikwinya iliuone kama yatatoka au
vipi…ghafla likatoka MOJA tena zuri ukaona yes kumbe unaweza..ukajaribu tena mara
ya pili yakatoka mawili makubwa….
Ghafla ukashtuka usingizini …ile kucheki MAYAI yako
daaaaah…..! unakuta umejinyea …mkubwa----mmhhh….!nomaaaa……
By nasri selemani
No comments:
Post a Comment