Monday, June 25, 2012 8:38 PM
Mwanamke
mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miaka minne baada ya kutengeneza
video ya ngono akifanya mapenzi na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa
miaka 16.Mistie
Rebecca Atkinson mkazi wa California nchini Marekani ametupwa jela kwa
kitendo chake cha kufanya mapenzi na mtoto wake wa kiume na kisha
kurekodi video za ngono na mtoto wake huyo.
Rebecca mwenye umri
wa miaka 32, aliungana na mtoto wake kwa mara ya kwanza mwezi oktoba
mwaka jana baada ya kutokumuona kwa miaka 15 baada ya kuachana na baba
wa mtoto huyo.
Kwa miaka yote 15 iliyopita mtoto huyo amekuwa
akiishi na baba yake na bibi yake na hakuwa na mawasiliano yoyote na
mama yake hadi mwishoni mwa mwaka jana wakati mama yake kwa kutumia
facebook alipomtafuta na kuanza kuwasiliana naye na kumtumia picha za
utupu.
Mtoto huyo alijua fika kuwa Rebecca ni mama yake mzazi lakini alikuwa akiwasiliana naye wakitumiana picha za ngono.
Bibi
wa mtoto hyo na ndugu zake waliripoti polisi mwezi oktoba mwaka jana
kuwa Rebecca anamtumia mtoto wake picha za ngono kwa kupitia facebook.
Mtoto
huyo ambaye polisi walimuelezea kuwa "Hasikii la kuambiwa" alikuwa
akitoroka nyumbani kwao na kwenda kukutana na mama yake pamoja na kwamba
kulikuwa na mipango mingi ya kumzuia mtoto huyo kukutana na mama yake.
Polisi waliwavamia wawili hao walipokuwa wakila uroda hotelini mwezi machi mwaka huu.
Polisi
walikuta video kwenye simu ya mtoto huyo ambayo ilimuonyesha Rebecca
akimnyonya mwanae sehemu zake za siri kabla ya kufanya naye mapenzi.
Video hiyo ilirekodiwa na mwanae huyo wa kiume.
Rebecca
alifunguliwa mashtaka ya kufanya mapenzi na mwanae, kufanya mapenzi na
mtoto chini ya umri wa miaka 18 na kutengeneza video za ngono na mtoto.
Rebecca
alijitetea kuwa hakutakiwa kufunguliwa mashataka hayo kwakuwa kuna kitu
kinachoitwa "Mvuto wa Kinasaba" ambao huwa na nguvu kubwa ya
kuwaunganisha ndugu waliokuwa hawajaonana siku nyingi.
Hata hivyo
utetezi wake haukukubaliwa na jumatano ya wiki iliyopita hukumu
ilitolewa ambapo Rebecca alihukumiwa kwenda jela miaka minne na miezi 8.
No comments:
Post a Comment