Thursday, June 21, 2012

Mohamedy Juma ( MWOME)

Ni akheri ule nazi, utaongeza mafuta
Kulikokula mbaazi, tena zile za mafuta
Zitajutoka pumzi, kwenye njia za utata
Harufu kinanuka mbuzi, lazima utaipata
Japo mbaazi ni tamu, shughuli yake ni pevu

No comments:

Post a Comment