Madaktari watwangana makonde wakiwa kazini, nimara baada
ya mama mmoja kumpeleka mwanae hospitarini hapo ilia apate suna(kutahiriwa)
mtoto huyo wa jamii ya albino aliacha gunzo baada ya kukatwa govi
lake..madaktari wakaanza kutwangana mijikonde wakigombania govi kwa lengo la
kupata utajiri …je vijana wa kialbino
waende wapi kutahiriwa ikiwa porini wanaogopa ,hospitali ndio kama hivyo,au
waendelee kubaki na magovi yao…….?
No comments:
Post a Comment