Saturday, June 23, 2012

PASUA MBAVU

chungwa akamuuliz ndizi ..kwanini wewe ukitaka kuliwa mpaka uvuliwe nguo zotee..? ndizi akajibu..nawewe kwanini ukitaka kuliwa mpaka ukatwe kIsha ufyonzwefyonzwe..? kabla hawajajibiana akatokea penshen….namimi hivyo vivyo mpaka nikatwekatwe ,niingizwe kidole nizunguushwe zunguushe halafu ndo niliwe………chungwa na ndizi        wakabaki haaaaaaaaaaah….!

No comments:

Post a Comment