Sunday, July 15, 2012

Diamond: "Ma baby say's Mgongo wangu ni moja ya kitu kinachomfanya Anipende sanaaaaaaaaa......"


Hayo ni maneno ya Diamond ambayo ameandika kwenye blog yake akidai kuwa moja kati ya vitu ambavyo humfanya mpenzi 'Baby' wake ampende zaidi ni mgongo.Alisema hayo bila kutaja jina la baby wake.
Nadhani ni jinsi mgongo wa Diamond ulivyo jengeka, ukiwa na misuli iliyo simama ndiyo sababu ya kumchanganya mpenzi wa mwana muziki huyo.
Picha ambayo ilikua na maneno hayo ni moja kati ya picha alizofanya show huko Zanzibar kwenye 'Ziff Festival Zanzibar'.

 Swali la kizushi:

Ni kweli mabinti wengi huwa wanapagawa na miili kama ya Diamond? Ninamaanisha miili iliyo jaza kwa mazoezi....

No comments:

Post a Comment