KWANINI FACEBOOK IFUNGWE..MMILIKI AFAFANUA KWA KINA

dunia
imekumbwa na mshtuko mkubwa mkiwemo nyie rafiki zangu kusikia habari
hii watu wanajiuliza ni kipi kinasababisha facebook kufungwa MARK
alizungumza kwenye chombo cha habari nchini marekani DHT NEWS nakusema
kuwa mtandao wa facebook unatarajiwa kufungwa kutokana na uwezo wake wa
kuendesha mtandao huu kua pungufu hivyo anatarajia ku shut down mtandao
huu amesema MARK watu wanatakiwa kuhamisha kumbu kumbu zao kutoka
facebook kabla ya july 15/2012 na anafanya hivi ili watu kutokuwa na
marafiki facebook wa uongo na kupata marafiki wa kweli kwa kukutana na
sio kwa facebook shirika la mitandao la marekani WORLD NETWORK
COMMUNICATION limekanusha habari hii na kusema kwamba facebook ni
mtandao ambao unapatia kiasi kikubwa cha fedha nchini marekani licha ya
hivyo facebook ni mtandao ambao watu wanatumia kutangaza biashara zao ni
mtanzao ambao unatumiwa kisiasa na mambo nengine mengi hivyo si rahisi
mtandao wa facebook kufungwa na kampuni ya mitandao marekani WORLD
NETWORK COMMUNICATION kutokukubaliana na jambo hilo la facebook kufungwa...
No comments:
Post a Comment