Sunday, July 15, 2012

PASUA MBAVU..


Mzee mmoja alienda kufanya upasuaji wa korodani  zake hospitali alipofika DR.alizitoa zile korodani na kuziweka pembeni ili aendelee na uchunguzi mwingine..ghafla paka akaingie hodini na kubeba zile korodani kisha akasepa nazo ..DR. baada ya kuona vile akaamua kumuekea viazi ili mzee asijue chochote..
Baada ya siku kadhaa  DR alikutana na Yule mzee nakumuuliza unaendeleaje na hali…? Mzee akajibu naendelea vizur ila kunamabadiliko kidoogo katika mwili wangu badala ya kuota mavuzi sasa naota matembele…….!!!!!

No comments:

Post a Comment