Hebu ashum umelala mdomo wazi mara panya katika kupitapita akadhani
mdomo wako ni shimo akaingia ile unashtuka tu ukammeza mmmhh...utafanya
nini ili atoke ..? uko tayari kumeza sumu ya panya ili afe au utammeza
paka ili aende kumsaka huyo panya hadi amkamate...kazi kwako
No comments:
Post a Comment