Thursday, July 12, 2012
TUACHE KULA VITU OVYO BARABARANI......
hii kazi unayo iyona hapo juu sasa yapamba moto katika nchi maskini ikiwemo TANZANIA..maranyingi nyama kama hizi zinatengenezwa vizuri na kuhifadhiwa katika mifuko maalum kisha wanaipeleka kwenye maduka yetu ya super market...chondechonde sana ndugu mtanzania kwa sasa kunawahuni wameshaanza kuiga tabia hiyo na kutupelekea mitaani kwetu tunapo ishi kwahiyo nivizuri kuepuka kulakula ovyo huko mitaani....hata wale wanaouza mishkaki ya bei rahisi epukana nao...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment