Saturday, August 18, 2012

PASUA MBAVU..

MADINGI WA KILEO WAMEDATA KULIKO VIJANA WENYEWE..HEBU CHECK HIIII..

MTOTO:..baba kesho ni birthday ya dem wangu sijui nimpelekee zawadi gani..? BABA:..yukoje kwani dem mwenyewe..MTOTO:..mtoto bomba huyo..! mrefu kidogo pia anahipsi za kuvutia..mgongo ndio usiseme,ananywele ndefu sura kama rihana na anadimpoz yaani daaah we achaa tu.. BABA.:..daaaah   acha ujinga wewe hebu kampe namba yangu ya sim faasta.....

No comments:

Post a Comment