Friday, August 24, 2012

PASUA MBAVU

TEJA ALIKUWA ANAMTONGOZA DEM WA KIZUNGU KWENYE FACEBOOK..INBOX ZAO ZILIKUWA HIVIIIII

TEJA..I love you...
DEM..I Love you 2
TEJA...I love you three
DEM...mmmmh ..! what 4..?
TEJA...what five..?
DEM...are you sick..? (teja akadhani  isx) kisha akajibu
TEJA...are you seven..?
DEM....fuck you..(teje alijua kaambiwa feki wewe) akajibu
TEJA...No..mimi ni mtanzania siwezi kuwa feki labda wachina...


No comments:

Post a Comment