Thursday, September 27, 2012

PASUA MBAVU



Ifuatayo ni makala inayoelezea namana MAPENZI yalivyo kuwa na  yalivyo katika vipindi tofauti tofauti ya miaka..:
1970:….NIPENDE LAKINI USINIGUSE.
1980:…NIGUSE LAKINI USINIBUSU…
1990:…..NIBUSU LAKINI USIFANYE KITU KINGINE CHOCHOTE..
2000:….FANYA KILAKITU LAKINI USIMWAMBIE MTU YEYOTE…
2011:……FANYA KILA KITU LAA SIVYO  NITAMWAMBIA KILA MTU KUWA HUWEZI KUFANYA CHOCHOTE..
2012:……FANYA KILA KITU LAKINI UKAE NAKUJUA  HAUKO PEKE  YAKO…..
Je mpenzi wako yupo katika mwaka upi………?

No comments:

Post a Comment