Thursday, September 27, 2012

PASUA MBAVU


Hakuna asie jua kama NYUMA rah asana ,asikwambie mtu ..! NYUMA  raha usifanye mchezo wewe ..huwa natamani  ule utamu wa NYUMA muda wote katika maisha yangu..NYUMA bhana achanipasifie, nisipopasifia  mie atapasifia nani tena mwenye kuujua utamu wa NYUMA..? hebu fikiria…soda  sh 250…sukari robo sh 150..mafyta ya kula  sh 100…mafuta ya taa kipimo sh 100….sabuni ya kipande sh 30..unga robo 150…daaaaaah..! maisha gani tena yatakuwa kama yalivyokuwa enzi za NYUMA…. daaah..! lione kwanza lilivyo kuwa likiwaza mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali…..

No comments:

Post a Comment