Amesema kuwa waliomchukuwa walijitambulisha kwake kuwa ni askari polisi
na kumuonesha vitambulisho huku wengine wawili wakiwa na silaha za
mshin gani hapo hapo wakamfunga macho yake kwa kutum
ia kitambaa ili
asijue wapi anapelekwa walimchukua kwa gari na baadae kumuingiza katika
nyumba asioijua kwa mahojiano bila ya kumfungua kitambaa hicho kwa muda
...
wa siku tatu mfululizo.
Amesema kuwa watu hao waliomuhoji maswala mengi sana kuhusu tangu
kuuanzishwa kwa jumuia ya uamsho na safari zake za kwenda omani na mpaka
kumchukulia simu yake bila ya kumrejeshea pia wametaka kujua kuwa
anauhusiano gani na rais shein na makamo wakwanza wa raisi maalim seif,
wakati wanamuhoji walifika mpaka kupiga risasi chini ya miguu nyake ili
kumtisha na kuweza kufikia lengo lao walilojipangia.
Amesema
pia watu waliomchukuwa na baadhi ya waliokuwa wanamlinda hawezi kuwajua
kutokana na kuwa walikuwa wamevaa soksi ndani ya nyuso zao nakubakisha
macho tu,amsema kutokana tu na lafdhi zao ambazo walikuwa wanaongea
inaonekana wazi kuwa wengi ni kutoka bara na wazanzibari ni kama wawili
tu kutokana na sauti zao.
kuhusu suala lakupigiwa simu na mtu
asiemjua amesena kuwa wao kama viongozi huwa mara nyingi wamekuwa
wakipigiwa simu na watu wasiowajua na wamekuwa wakionanan nao bila ya
matatizo hivyo basi kitendo cha kupigiwa simu siku hio na mtu asiemjua
hakikumshituwwa kwani nikawaida kwao hususani aliemnigia alijitambulisha
kama ni mwanafunzi wake wa mahad lmahfudh
Aidha amesema kuwa
muda wote huo wa siku tatu hakuweza kula chochote katika chumba hicho
kwani alikuwa hawaamini na badala yake alikuwa anakunywa maji kutoka
bomba la mfereji lililokuwa chooni katika chumba hicho pia amesema
wakati yupo ndani hakujua lolote linaloendelea huku nje isipokuwa amejua
baada ya kutoka nje kwa kuambiwa na kila manaemkuta.
Aidha
sheikh farid ameiomba serikali ya mapinduzi ya zanzibar kutumuia sheria
na uadilifu kwa raia wake kinyume cha hivyo watakuwa wanaimba tu katika
nchi amani na utulivu usiokuwepo pia amewataka wazanzibar kuendelea
kutetea maslahi ya nchi yao kama kawaida kwani kufanya hivo ni haki yao
na yeye amewahakikishia ataendelea kuitetea zanzibar mpaka tone la
mwisho la damu yake.
SOURCE.INGIA KATIKA PAGE HII YA-JUMUIYA YA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU ZANZIBAR.

No comments:
Post a Comment