a
Jamaa wa Korea
Angalia picha hizi utamuona, hii sio mara yake ya kwanza
kubeba makaratasi mkononi anapokuwa na maongezi ya faragha na viongozi
ziarani magharibi. Hawa wote ni viongozi wa nchi za nje walikutana USA
kwenye mkutano wa kimataifa, viongozi wote walipata fursa kutana na
Obama kwa muda wa dakika chache tu lakini wa TZ hadi alibeba
karatasi.... Mkapa hakuwa anafanya hivyo enzi zake.
kushoto Afghanstan na kulia Pakistan
raisi Shimon Peres wa Israel
kulia mwenye mvi aliyeva mawani ni raisi wa Palestine aki-chat na Obama & Biden
No comments:
Post a Comment