Monday, November 5, 2012

Tazama jinsi ulinzi ulivyokua mkali kwenye kesi ya Sheikh Ponda (picha 9)

-Kesi yaahirishwa hadi Nov 15 mwaka huu.
-Dhamana yaruhusiwa kwa washtakiwa wote isipokua Ponda.
-Wafuasi wa Ponda walitaka kuleta rabsha kidogo lkn walidhibitiwa.
Ponda na wenzake baada ya kesi kuahirishwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar leo.
Washtakiwa wenzake na Ponda wakifungwa pingu mahakamani.
Ulinzi mbele ya mahakama ya kisutu.
Machine ya ukaguzi kabla ya mtu kuruhusiwa kuingia mahakamani.
Sheikh Ponda na pingu mikononi

No comments:

Post a Comment