Friday, December 21, 2012

ent AIBU TUPU;WASANII WA BONGO MOVIE WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI HADHARANI SAA 8 MCHANA


Ama kweli mwisho wa dunia umekaribia! Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, wamekutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.

Awali wasanii hao walishuhudiwa wakiwa ‘klozi’ ambapo walikwenda ‘kupozi’ chini ya mti na kuanza ‘kudendeka’ kabla ya kuzama katika hatua mbaya zaidi ya kutomasana na kuvuana nguo bila kujali kuwa ilikuwa mchana tena hadharani.


Katika kushaabikia zoezi hilo, baadhi ya watu walimtonya paparazi wetu aliyekuwa akifanya kazi yake katika shindano hilo ndipo alipotimba kwenye eneo la tukio kisha

No comments:

Post a Comment