Mbwa hao toka kituo (charity) kinacho tunza mbwa wamepewa mafunzo hayo ku-prove kuwa hata mbwa wana akili na uwezo wa kufikiri kama binadamu. Mbwa hao wameweza ku-control vitu kama brakes, gears na steering wheel.
Hawa ndio drivers watatu wameofundishwa
kuendesha gari. Kutokea kushoto ni Beardie Cross (Porter) mwenye umri wa
miezi 10, katikati ni Schnauzer Cross (Monty) mwenye umri wa mwaka 1 na
nusu, na wa mwisho ni Beardie Whippet Cross (Ginny) mwenye mwaka 1
mbwa akijifunza ku-control gari kwa
kutumia specially modified carts. Mguu mmoja uko kwenye steerling wheel
na mwingine kwenye gearstick maalamu iliyotengenezwa na kuwekwa pembeni
ya steering wheel.
No comments:
Post a Comment