Wednesday, December 5, 2012

Simu ya BlackBerry yalipuka Na Kumuunguza Mtoto wa Miaka 11

Frantic: Kian's terrified mother Sarah put out the flames, lifted her son out of the bed and put him in the bath
...........
Mtoto wa miaka shule ya secondary mwenye umri wa miaka 11 toka Holbrooks, Coventry (UK) ameunguzwa na simu ya mkononi aina ya BlackBerry smartphone (the Curve 9320 handset) ambayo ililipuka na kusababisha moto kwenye kitanda chake usiku alipokuwa amelala usingizi.
Kian with the phone that exploded
Kian McCreath akiwa ameshikilia simu yake iliyoungua.
phone
hii ndio simu iliyoungua
Mkasa huo ulitokea saa 8 za usiku dakika chache baada ya mama yake Kian McCreath aitwaye Sarah kuitoa simu sakafuni kwenye charge nje ya chumba cha Kian ilipokuwa imeachwwa na kwenda kuiweka kitandani alipokuwa Kian kalala usingizi. mama huyo anasema kuwa dakika chache baada kushuka aliamua kuingia jikoni kutengeza kikombe cha chai, ndipo aliposikia mlipuko mkubwa ukitokea juu vyumbani. Alipokimbia kwenda juu mara akasikia sauti ya mwanae anapiga makelele na kusema kuwa kitanda chake kinaungua moto, mama mtu alichukua blanket na kuzima moto haraka kabla haujaunea. Mtoto huyo alipelekwa Hospital amabko alipata matibabu.
Vodafone, company iliyomuuzia simu baba yake Kian na kumpatia mwanae, mara moja bila kusita ilimpatia mtoto Kian simu nyingine (replacement), lakini Mr & Mrs McCreath wameiomba BlackBerry maker RIM (Researcher In Motion) kuzitoa simu zote za model hiyo (the Curve 9320) huku investigation ya kulipuka kwa simu ikiendelea ili kuokoa watu wengine wasije patwa na madhara. Ujumbe wa juu wa company itengenezayo BlackBerry toka Canada imewasili nchini Uingereza na kwenda hadi nyumbani kwao mtoto Kian kumpa pole na kuangalia simu hiyo iliyoungua na kujadiliana na wazazi jinsi ya kutatua tatizo hilo ingawa Mr McCreath hataki chochote zaidi ya kutaka simu model hiyo zote zitolewe kabisa kwenye market (madukani) sababu ni ya bei nafuu na watoto wengi (teenagers) sana wanaipenda kwa kuwa na free BBM message service  offered by BlackBerry. Mjumbe wa RIM anasema kuwa hiyo ndio mara yao ya kwanza kusikia case kama hiyo.
Kian's leg showing his injuries

Red raw: The 11-year-old had to be taken to hospital for treatment - and his parents say they are horrified at the thought of how much worse this could have been

No comments:

Post a Comment