Kushoto ni mwanajeshi huyo akiwa ndani ya gari ya jeshi baada ya kutiwa mikono,kulia ni picha akiwa na Mh. Godbless Lema.
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli
ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. Amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.
No comments:
Post a Comment