Wednesday, January 9, 2013

MASHOGA KATIKA ARAKATI ZA KUTAFUTA WATEJA

 

Naona zile arakati za kuukataa ushoga katika imani za kidini, pia katika nchi mbali mbali dunia zitafanikiwa kama wote kwa pamoja tukiwa na nia katika hilo hawa ni mashoga wanafanya biashara ya kujiuza katika mitaa mbali mbali.
Je? wanaofanya nao hiyo biashara  ya kuwaingilia wanaume wenzao kinyume cha mahumbile wapo katika hii arakati ya kupinga ushoga

No comments:

Post a Comment