Monday, April 29, 2013

Baada ya miaka 50 ktk biashara ya kuuza miili, mapacha hawa waamua kustaafu kazi hiyo

 
Louise (kushoto) na Martine (kulia)
Louise na Martine ni mapacha toka Amsterdam ambao walijiunga na biashara ya kuuza miili yao wakiwa na umri chini ya miaka 20. Louse ambaye sasa ni mama wa watoto wanne ndiye alikua wa kwanza kujiunga na biashara hiyo kutokana kugundua kuwa ni biashara yenye faida kubwa kutoka kwa rafiki zake ambao walikua wakijihusisha.
Baada ya muda mfupi, Martine aliamua kumuunga mkono kwa kujiunga na biashara hiyo .Martine ni mama wa watoto watatu.
Louise alisema kutokana na umri mkubwa kuna baadhi ya staili za kufanya ngono zilimsababishia maumivu makali kwenye 'joints'. Pia walianza kuona ugumu wa kupata wateja kutokana na umri wao.
Katika miaka yao 50 kwenye kazi hiyo, wametembea na wanaume zaidi ya 355,000


No comments:

Post a Comment