Zeng Jia (22) ni mwanafunzi huko China ambaye aliamua kufanya msiba wake huku akiwa hai. Alitaka kujua siku hiyo itakuaje sababu hatoweza kuishuhudia itakapotokea kweli.Pia alitaka kujua watu wangemfikiriaje juu ya uamuzi huo. Siku hiyo ilihudhuriwa na waombolezaji ambao walionekana kuhuzunika kama vile ni msiba wa kweli.
Hapa akiwekwa vizuri ili msiba uendelee
Waombolezaji wakiwa katika majonzi makubwa
Akiongea mbele ya waombolezaji baada ya kuamka
No comments:
Post a Comment