Kuna
jamaa alikuwa anachat na demu fln fb wakapeana mawasiliano na wakapanga
kuonana, siku ya kuonana yule bint akapiga simu kuwa ndio natoka home
now "SiJUI ni WAPI" akauliza nafikaje huko au nichukue taxi?Jamaa: sawa,
haina shida! Yule bint kachukua taxi mpaka mikocheni, kufika akampigia
simu jamaaCalling: Hallo?Bint: tumefika tupo hapa barabarani Jamaa:
Kimoyo moyo, mmm! Wamefika, wangapi? Ok acha niende Jamaa kufika anakuta
mademu 2 kwenye gari, akasalimia na kumwambia yule bint kuwa shuka
Anashangaa wanashuka wote Jamaa: kauliza mwenzio anaenda wapi?Demu: Nipo
nae Jamaa: Unaenda nae wapi?Demu: nimekuja nae kwako Jamaa: No kwangu
nimekuita wewe so km umekuja na mwenzako basi tafuteni pakwenda Demu:
Sawa lipa taxi basi Jamaa: No mi cjakodi hiyo taxi so nyinyi lipeni tu!
Namchezo ndio ukaishia hapo ,SWALI JE NANI MWENYE KOSA YANI YULE
AKIYEKUJA NA RFK YAKE AU ALIYE KATAA KULIPA TAXI????
No comments:
Post a Comment