Sunday, May 5, 2013

SHABIKI WA JAYDEE AMTUMIA JAYDEE EMAIL HII....

Habari Dada Jide. Natumai u mzima wa afya.
Me ni mmoja kati mashabiki wako wakubwa tu, but juz kati nimesikitishwa sana na waraka ambao inasemekana wewe ndo umeuandika kuhusu clouds...hasa pale uliposema ata ukifa Ruge na Kusaga wasikuzike. Kwakweli dada jide Ata Mungu hapendezwi na kauli hiyo na sidhani kama Mungu anampokea m2 ambae anakufa na kinyongo na wa2.
Hakuna asiyejua kama Clouds wana matatizo so it's better ungewaponda 2 na si kutoa maneno kama yale..
Nakupenda na Ninaupenda muziki wako pia that's y nimeamua kukwambia kilichonikera. One luv dear Sister

No comments:

Post a Comment