1. UGOMVI WA KILA SIKU
Kwenye ulimwengu wa Mapenzi hakuna kitu kibaya kama kutoweka kwa amani
kaa ukijua mapenzi ni matamuna yanaraha iliyoambatana na furaha hakuna
mtu anaependa kuishi bila ya kuwa na furaha hivyo ikitokea katika
mahusiano wapenzi hawapatani na kila mmoja wao hataki kukubali kosa wote
wanajiona wapo sahihi halafu mwisho wa siku wanapatana ghafla bila
kuombana msamaha ni wazi kabisa kosa bado litakuwa halijarekebishwa
hivyo ni rahisi kutokea tena ugomvi na ikitokea kila siku penzi lenu
linatawaliwa na ugomvi nirahisi penzi kukosa muelekeo na kila mmoja
wenuakahisi hapati amani ya pumziko la moyo kwa mpenzi wake hivyo
mnaweza kujikutaupendo unapungua katika penzi lenu na matokeo yake moyo
wako utakuwa bado haujapata kimvuli cha burudani za mahaba utajiwa na
fikra za kutaka kumtafuta mpenzi mwingine.
2. KUTOKUBALI HALI HALISI YA MPENZI WAKO:
Hii ni moja kati ya sababu kubwa
inayopunguza mapenzikwa kiasi kikubwa, walio wengi katika mahusiano
siku zote hutegemea faida tu kwa upande wake pasipo kumjali mwenzake
zaidi hili hutawala katika upande wa kifedha, unaweza kumkuta mtu
anampenda mpenzi wake pindi awapo na hela na kama ikitokea siku mpenzi
wake kakosa hela basi inaweza kutokea hali ambayo si yakawaida. Kikubwa
naomba utambue kuwa mapenzi sio pesa ila pesa ni sehemu moja wapo ya
mapenzi ambayo hutumika katika njia ya kuboresha mapenzi nachoweza
kukwambia jaribu kuwa muelewa, kubaliana na hali halisi ikitokea
unashida yapesa au kitu chochote toka kwa mpenzi wako muombe kama anacho
atakupa au kukununulia na kama hana atakuambia kwamfano:"Mpenzi kwa
sasa hali yangu iko chini kidogo naomba univumilie kati ya hizi siku 2
nitakupa" utakapo ambiwa hivi kuwa nasubira mvumilie ila kama hutojali
hali ile na ukaenda kinyume na maombi yake niwazi kabisa hisia zake
zitamtuma wewe si mkweli kwake na nirahisi kupunguza upendo kwako
3. KWENDA KINYUME NA HISIA /MATAKWA YA MPENZI WAKO:
Mpendwa napenda ufahamu katika mapenzi kila mmoja huwa na tabia yake na
sheria zake katika mapenzi hivyo ni vizuri mkiwa kama wapenzi katika
mahusiano yenu muweze kusomana tabia na kila mmoja wenu aweze kutambua
mpenzi wake anapenda nini na nini hapendi tukija katika upande wa
sheriapia ni vizuri kama kila mmoja wenu aweze kumueleza mwinzie vitu
anavyotaka vifuatwe katika mahusiano. Mapenzi yanaweza kupungua katika
hili iwapo kama itatokea kuna mmoja wapo kati yenu anahitaji afanyiwe
vitu fulani lakini vinakuwa havitekelezwi kwa mfano: Mpenzi wako anaweza
akakuomba kushiriki tendo la ndoa akiwa na hamu anakwambia "Dear leo
naham nawewe mpenzi nahitaji kulifurahia penzi lako usiku wa leo"
unamjibu "Umeisha anza nawewe mimi sijisikii bwana!". Kinapotokea kitu
kama hiki ni dhahiri kwamba umeshindwa kumtimizia mpenzi wako mahitaji
yake ndipo upendo wake kwako utaanza kupungua hatima yake ataamua
kutafuta mtu mwingine kwani atahisi kama kwako hapati anavyovitaka..........kwa ushauri zaid ...... 0718 36 36 24
No comments:
Post a Comment