Thursday, July 18, 2013

HII NI KWA FAIDA YA AKINA DADA NA WATANZANIA WOTE..!

Dada zanguni mnaopenda kupaka kucha rangi na kuweka kucha bandia nawashauri mjitahd kuacha kufanya hvyo kwan zinamadhara makubwa na hata kupelekea kifo kwa mtumiaji...!
Na naomba serikali kama haina taarifa basi mamlaka husika izfanyie uchunguzi na kutoa taarifa kwa wananch juu ya madhara ya kupaka rangi na kucha bandia...
Nmepata kushuhudia na kufuatilia kwa ukaribu hata kujaribu kuwauliza baadhi ya wauguzi na madaktari juu ya tatzo hili..
# kuna Bibi harusi mmoja alifariki dunia kwasabu ya hizi rangi na kuweka kucha kwenye vdole vyake aliwekewa maeneo ya sinza...
‪#‎Na‬ kunamama yeye amekatwa vdole vyake yupo mpaka saiz amelazwa hodi namba 8 hospital ya lugalo sababu ni hiyo hiyo yeye aliweka mwenge..
Hayo n baadhi ya matukio nilio pata kushudia..
Nilijaribu Kuongea na baadhi ya wauguzi pale lugalo nawaliweza kuniambia kuwa tatzo hli n kubwa na wengi wamewapokea kwa matatzo haya haya..!!
Kwahyo dadazanguni Kuwen makini....!!
Naomba mamlaka husika ilifatuatilie hili haraka iwezekanavyo...!!

No comments:

Post a Comment