Mtanzania Adam Nditi anayecheza soka klabu ya Chelsie ya Uingereza, ameonesha kuukubali wimbo wa msanii Diamond 'My Number 1' ambao aliuzindua siku chache zilizopita. Adam aliusifia wimbo huo kupitia ukurasa wake wa Twitter kama inavyoonekana hapo juu.
Itakumbukwa mwezi Juni 2013 mwanasoka huyo aliiponda show ya Diamond ambayo aliifanya UK kuwa ilikua mbaya.Soma alichokiandika hapa chini
No comments:
Post a Comment