Monday, December 2, 2013

PASUA MBAVU


kiongozi m1 wa dini alikuwa akihubiri. Mwisho aka uliza swali. Nani akiambiwa aende motoni ataenda asimame juu. Mzee m1 akasimama. Akaambiwa mzee acha masihara kaachini. Mzee akakaa. Akaulizatena nani akiambiwa sasa hivi aende jehanamu ataenda asimamejuu. Yule mzeea akasimama. Akaulizwa kwanini. Akajibu- mm nina huruma sana. Wa2 wote hawa hakuna hata m1 ambaye anataka kukupa kampani huko motoni mi nikaona bora twende wote. Maana ulikuwa umesimama mwenyewe huruma ikanijia. Ndo nikaona nikupe kampani

No comments:

Post a Comment