Monday, July 28, 2014

BIBI HARUSI MTARAJIWA AKUTWA GETO KWA JAMAA AKIWA UCHII KAMA ALIVOZALIWA VILE..

Dada huyu ameharibu ndoa yake mwenyewe na kujikuta anajuta, zikiwa zimebakia wiki mbili tu kufanya kufanya harusi  mpango ulivurugika baada 
ya picha za uchi ya huyu dada kunaswa akiwa getoni kwa jamaa akiwa amejiachia uchi wa mnyama akicheki TV. Tunaposisitiza kuwa michepuko haifai watu wanatuchukulia kama wajinga, wewe unajua kabisa ulikuwa na mwanaume fulani  na sasa umepata mchumba kwanini usiende ukampigia magoti na kumweleza ukweli akutunzie siri kwa kuwa tayari umepata mchumba? Haya ona sasa maji yashamwagika.


Read more: http://mchimbuzi.blogspot.com/2014/06/bibi-harusi-mtarajiwa-akutwa-geto-kwa.html#ixzz38ypVptzP

No comments:

Post a Comment