Monday, July 7, 2014

WADAU WA BLOG HII YA KIJANJA TANZANIA

Ndugu
          WADAU WA BLOG HII

 Napenda kuwajulisha kuwa nimekaa kimya kwa muda mrefu kwa sababu za hapa na pale  .kwahiyo  ukimya wangu ni kwa ajili ya kutafuta maisha pia najua mmenimisi sana mimi pamoja n habari mpyaaaaa ..ila nawa PROMISE nitarudi muda si mrefu na nitawaletea vitu vizuri sana ..
     nawatakia mfungo mwema wa RAMADHANI
               
                NI mimi BOY NASRI

No comments:

Post a Comment