DIAMOND AFANYA MAKAMUZI YA KUFA MTU..
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa amebebwa juujuu na
madansa wake wakati akitumbwiza ishirini na tano na kutumia kwenye
Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika mikoa ya Mtwara
na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi…
No comments:
Post a Comment