RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete,
anatarajiwa kuwa refa wa mchezo wa soka kati ya wabunge mashabiki wa
Simba dhidi ya Yanga.
Mechi ya wabunge hao mashabiki wa Simba na
Yanga, inatarajiwa kufanyika Julai 7, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam, ikiwa ni moja ya matukio yatakayopamba Tamasha la Usiku wa
Tumaini.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, wanaoandaa tamasha
hilo, Abdallah Mrisho, alisema kuwa wameshamuandikia barua JK ya
kumuomba awe mgeni rasmi, vilevile awe refa wa mechi…
No comments:
Post a Comment