Friday, June 22, 2012

LEILA ROBERT....AFAFANUA MAHABAA NI NINI


Mapenzi ni sawa na majani..! na Majani huota popote hata kama bila ya kupandwa,,je msemo huu ni sahihi kweli ..? kama ni kweli  je nihalali kaka na dada kuotesha penzi kati yao ? ..vip baba na mtoto ..au mtoto na mama..? je mtumishi na bosi  wake ..au mfanyakazi wa serekalini na mwanafunzi..
       Mapenzi ni maridhiano ya wawili kati ya mwanamke na mwanaume tena watoke familia au koo tofauti lakini ndugu wa damu au mzazi na mtoto duuuuu…! Huu ni uchafu na sio mapenzi…

No comments:

Post a Comment