Friday, June 22, 2012

PASUA MBAVU


Mla mirungi alishtuka kutoka usingizini
akiwa na hofu kubwa,jasho linamtoka
na mwili unatetemeka
Akamwambia mke wake "Nimeota
ndoto mbaya sana wacha nikaswali
rakaa mbili"
Mke akamuuliza "Umeota nini mume
wangu"
Jamaa akajibu "Nimeota ati bei ya Big G
imefika shillingi elfu tano"

No comments:

Post a Comment