Wednesday, June 20, 2012

PASUA MBAVU....


BABA: ……Unamjua Edward Sokoine?
MTOTO:…...... Hapana
BABA: Kenge wewe, zingatia masomo yako...!
MTOTO……Sawa baba. Na wewe unamjua Nasri
DungaDunga….?
BABA:……. Simjui.
MTOTO: ………Kenge wewe, zingatia ndoa yako!

No comments:

Post a Comment