PASUKA MBAVU..
Baada ya kusherekea harusi
sasa muda wa 'MSOSI' ukafika., ikabidi watu wajipange na kusubiria maji ya kunawishwa
kabla ya chakula. Badala ya watu kunawishwa maji ,basi wakawa wananawishwa
mafuta ya kula…, washkaji wakitaa wakaanza kusifia duh..! Msosi utakaokuja hapa
unaonekana si mchezo tena utakuwa kutoka mbele.. Maana kunawa 2 kwa mafuta, je
huo msosi daaaaah,, Ghafla sahani za msosi zikaletwa kumbe walibeba vipande vya
mafenesi na wakaanza kumgawia mmoja baada ya mmoja…i!! watu wote hoi….! la
kusema hawana, kila m2 anamwangalia mwenzake…..!! washkaji wakabaki kutukana
ilembaya….
No comments:
Post a Comment