Nawachukia sana marafiki wanafki kwenye FACEBOOK eti ukiwatag picha wanalalamika sana na kutishia kublock haaaaah ...nawshangaa sana wanaponipa TAARIFA tena wanaonyesha udhaifu wa hali ya juu..kama kweli hawapendi na ninawaboa haina aja ya kunijuza we niblock tu
UTANIDISI MBAKA LINI.....! NIBLOCK ILI NIONGEZE MARAFIKI WA KWELI..
No comments:
Post a Comment