WAISLAM TUNAPINGA KUKAMATWA NA KUPUUZWA
gazeti la serikali Daily news 22-08-2012 limeandika wahadzabe wamegomea sensa mpaka wapewe nyama ya punda na pombe aina ya gongo .serikali tiyari imewapa. waislam wamewasilisha hoja za msingi kuthibitisha njama na upotoshaji dhidi yao lakini majibu ya serikali ni kuwakamata kuwasweka magereza.ndugu waislam hii ni nchi ya waislam na wakristo tusikubali sensa inayoficha ukweli kwa lengo la kuruhusu takwimu zinazotuangamiza.Maandamano haya yatajenga heshima yetu na dini yetu na tutakapotajwa kwa kizazi kijacho kitasema"Radhwiallahuanhum".MAANDAMANO YATAAZA 7:15 ADHUHURI MSIKITI MKUBWA KARIAKOO KUELEKEA IDARA YA TAKWIMU YA TAIFA .SWALI ADHUHURI KARIAKOO...
imeandikwa Mansuri Juma Msuya
No comments:
Post a Comment