Mwanamke aliyetiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na mbwa akificha sura yake alipokuwa akitoka mahakamani
|
Saturday, August 25, 2012 2:42 PM Mwanamke mmoja wa nchini Afrika Kusini ametiwa mbaroni baada ya kuwasumbua majirani kwa muda mrefu akifanya mapenzi na mbwa wawili na pia akirekodi video akifanya mapenzi na mbwa hao. |
|
Mwanamke
mmoja mkazi wa Pretoria nchini Afrika Kusini amepandishwa kizimbani kwa
tuhuma za ukatili kwa wanyama baada ya kugundulika kuwa kwa muda mrefu
amekuwa akifanya mapenzi na mbwa wake wawili. Mwanamke huyo mzungu mwenye nywele za hudhurungi alitiwa mbaroni siku ya jumatatu baada ya malalamiko ya mwanamke huyo kufanya mapenzi na mbwa kupelekwa kwenye taasisi ya kulinda wanyama. Kwa mujibu wa vyanzo vya polisi, mtu mmoja ambaye hakutaka kugundulika alipeleka DVD ya mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa kwenye taasisi ya kutetea haki za wanyama ambayo iliamua kupeleka suala hilo polisi. Polisi walipewa kibali cha kuisachi nyumba ya mwanamke huyo ambapo DVD nyingi sana za mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa zilipatikana. "Inavyoonekana alikuwa akirekodi video za mapenzi yake na mbwa kwa muda mrefu sana. Alitiwa mbaroni muda mfupi baada ya nyumba yake kusachiwa", kilisema chanzo cha polisi. Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani siku ya alhamisi ambapo hakimu aliamuru mwanamke huyo apimwe akili zake kabla ya kesi hiyo haijaendelea zaidi. Akitoka mahakamani baada ya kulipiwa dhamana na rafiki yake wa kiume, mwanamke huyo alijificha sura yake kwa kutumia gazeti ili waandishi wa habari wasimpige picha. Mbwa waliokuwa wakifanya mapenzi na mwanamke huyo wamechukuliwa na kupelekwa sehemu nyingine kwa uchunguzi zaidi. |
||
Monday, August 27, 2012
Mwanamke Mbaroni Kwa Kufanya Mapenzi na Mbwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment