Monday, August 27, 2012

PASUA MBAVU

WANDAZIMU WATATU WALIAMUAKUANZISHA SHULE CHINI YA MTI..WAKAOKOTA VITABU ALAFUA WAKAJIFANYA WANASOMA..KESHO YAKE WALIMKUTA MMOJA WAO AMEPANDA JUU YA MTI WAKAMUULIZA WE VIP MBONA UKO JUU YA MTI..YULE MWANDAZIM AKAJIBU "yes mimi nipo HIGH SCHOOL"

No comments:

Post a Comment