Monday, August 27, 2012

PASUA MBAVU

JAMAA MMOJA ALIKUWA ANASWALI MSIKITINI .WAKATI ANATAKA KUINAMA GHAFLA UKUTA UKAWA UNADONDOKA KUELEKEA PALE ALIPO..MARA AKATOKEA SHETANI AKAUZUIYA ILI USIMDONDOKEE YULE JAMAA HADI ALIPOMALIZA KUSWALI..YULE JAMAA ALIPO MALIZA AKAMSHUKURU MUNGU KISHA AKASEMA MANENO HAYA..yaa rabbi(mungu) kumbe hata shetani nae mwema maana ameniokoa nisife." SHETANI AKAJIBU...NYOOO...! KAFIRI MKUBWA WEEE...! KUSWALI KWENYEWE RAMADHANI MPAKA RAMADHANI ULITAKA NIKUACHIE UFE UKIWA MSIKITINI ILI UWENDE PEPONI..? HEBU KAFIE MBELE HUKOOO....

No comments:

Post a Comment