Wednesday, August 15, 2012

PASUA MBAVU..

Nyumba za kupanga hatari sana ..hebu cheki hii

Kuna jamaa mmoja alipata demu akaona nivyema kwenda nae getto kulala nae..kwa bahati mbaya hiyo nyumba aliyopanga haikuwa na celling boady .basi bhana akamchukua dem hadi ndani .kwa jinsi alivyo kuwa amezidiwa  na nyege akavulia chupi kitandani na ili kuitoa miguuni akarusha teke...looh...! chupi ikaruka juu na kuangukia chumba cha pili ..kwa bahati mbaya kile chumba wenyewe walikuwa wanakula ...Ghafla chupi pwaaaaaaaa.! kwenye ugali..je unajua kilicho tokea,,? hebu comment...

No comments:

Post a Comment