Picha 6 za Lulu alivyo nawiri ingawa yupo kwenye kipindi kigumu
Lulu
anaonekana Kupendeza zaidi hasa kunenepa wakati kila mtu anaamini yuko
kwenye kipindi kigumu sana pengine kuliko vipindi vyote katika maisha
yake tangu azaliwe.Kingine najiulizaga siku zote ile mimba ambayo ilikua
ikiongelewa sana imepotelea wapi?
GaraBig
Up Nyingi Dr Cheni ,msanii pekee anaeonyesha kujitoa kikamilifu
kufuatilia hii kesi kwa ukaribi kuhakikisha Elizabeth Michael (Lulu)
anakuwa huru.Apa akiongea na Wakili wake Lulu.
No comments:
Post a Comment