Sunday, October 21, 2012

Yanga wakabidhiwa jezi zao zenye nembo nyeusi ya Vodacom

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na Vodacom zikiwa na doa jeusi kutoka kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu (kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa kampuni hiyo, Ibrahim Kaude

No comments:

Post a Comment