Mama mmoja mwenye umri wa miaka 26, Mrs. Blessing Uche, ameusikitisha umma wa watu pale alipommwagia maji ya moto mtoto wake wa kike mwanzoni mwa wiki hii.
Mwanamama huyo kwa sasa
anashikiliwa na POLISI kwa ajili ya maelezo zaidi na wanaharakati wa
kutetea haki za watoto wameonekana kulivalia njuga swala hili kwa
kutangaza kumfungulia kesi mwanamama huyo.
No comments:
Post a Comment