Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012(EBSS),Walter Chilambo akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha
Sh. milioni 50
usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee,pia katika
shindano hilo lililovuta hisia za watu wengi sana,mshindi wa pili
amechukua mwanadada
Salma Abushir(Zanzibar) na watatu ni
Wababa Mtuka(Dar).
Mapoudaa!!!!!!!!
Vanessa Mdee na Shadee
Pah one
Linah na Amini
No comments:
Post a Comment