Tuesday, January 22, 2013

HUYU NDIE MBUNGE ALIYENASWA AKIFANYA MAPENZI WA NAFUNZI WA CHUO. MADEMU WAWILI KWA MPIGO



TUKIO hili limetoke huko Nchini KENYA ambapo bwana mmoja ambaye ni mbunge wa RIFT VALLEY nchini humo alitoa kali ya mwaka pale alipofumaniwa akifanya mapenzi na wanafunzi wawili wa CHUO KIKUU maarufu nchini humo.

Taarifa zaidi zinadai ya kuwa mwanasiasa huyo amekuwa na matendo hayo ya kujihusisha na mhusiano na WANAFUNZI mbali mbali wa vyuo vikuu na hivyo kuisaliti NDOA yake kinyemela. MMOJA kati ya wanafunzi hao ambaye amekuwa na uhusiano mkubwa wa kimapenzi na MBUNGE huyo ambaye inasemekana alichangia MBUNGE huyo kupita katika kampeni zake wakati wa uchaguzi, Mwanadada huyo mbaye anatambulika zaidi kwa jina la 'MADAM wa BOSS'  hakusita kuuweka hadharani uhusiano wake huo na kigogo huyo maarufu nchini hapo.


Inadaiwa kuwa muda mwingi amekuwa akiutumia kutembeana wanafunzi wa kike wa vyuoni nchini KENYA na hivyo kuzoretesha kazi zake mbali mbali hususani zile za kuwatumikia wananchi ambao walimpa RIDHAA ya kuwawakilisha awapo BUNGENI, na muda mwingi simu yake ya kiganjani huwa inazimwa pasipokuwa na sababu yoyote maalum.


WADADISI wa mambo wanadai kuwa hali hiyo huwenda ikamsababishia kukosha RIDHAA nyingine kutoka kwa wananchi wa jimbo lake pale kipindi cha UCHAGUZI kitakapofikia tenaso source gmzo la jiji.

No comments:

Post a Comment