Msanii Ney wa Mitego akishoot video yake mpya makaburini
Hii
ni moja ya picha zikimuonesha Msanii wa Bongo Fleva 'Ney wa Mitego'
akifanya video ya wimbo wake mpya uitwao 'Wamenichokoza'. Ameamua
kufanya video hiyo makuburini ili kupata kitu tofauti ukilinganisha na
videos nyingine.
No comments:
Post a Comment